Makundi mawili mahisimu ya wanenguaji nchini Zimbabwe, hapa namzungumzia Berverly Sibanda na kundi lake la " Dancing Angels" na mahasimu wao Girls la musica, wamefunguka juu ya upinzani uliopo baina yao. Katika mahojiano yao kundi la Girls la Musica limesema kwamba hawatishiwi na Bev na kundi lake zaidi zaidi wanawaona kama watu wasiokuwa na maadili.
Posted by Unknown
on 1:28 AM. Filed under
Udaku wa Africa,
Udaku wa TZ na Africa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response
0
comments for "Unenguaji wa Beverly Hautuogopeshi - Girls la Musica"