|

Duuh!! Mzee wa Miaka 60 mbaroni baada ya kufumwa akivinjari na Binti ndani ya Gari!!!

--> Ule usemi unaosema ng'ombe hazeeki maini umejidhihirisha juzi pale Mzee mmoja wa umri wa miaka 60 alipofumwa akijiachia na ka binti ka miaka 17 ndani ya gari. Mzee Opanyin Kofi Appiah alikamtwa baada ya kupatikana ushirikiano wa kutosha toka kwa wananchi wa maeneo ya Kwadaso Beposo walikuwa wakifuatilia nyendo zake baada ya kuvuja taarifa zake za kuwa na mahusiano na mabinti wadogo.

Posted by Unknown on 6:14 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Duuh!! Mzee wa Miaka 60 mbaroni baada ya kufumwa akivinjari na Binti ndani ya Gari!!!"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...