|

Lil Wayne kitimoto kwa kukanyaga bendera ya US

Rapper Lil Wayne amejikuta katika mtafaruku na raia wa nchi baada ya kuonekana katika video moja akitembea juu ya bendera ya nchi hiyo. hata hivyo yeye mwenyewe amejitetea na kusema kwamba hakuikanyaga kwa makusudi.

Posted by Unknown on 11:29 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Lil Wayne kitimoto kwa kukanyaga bendera ya US"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...