|

Maziwa ya Kichina yampasukia Mwanamke wakati amelala!!!

Mwanamke mmoja Mkazi wa Beijing amefikishwa hospitalini baada ya kupasuka kwa moja ya ziwa(titi) lake ambalo aliliongeza kwa teknolojia ya kisasa. Mwanamke huyo amekutwa na mkasa huo baada ya kulaliatumbo lna matiti hayo kwa muda wa zaidi ya saa 4 huku akiwa anacheza game katika simu yake ya kiganjani. Mwanamke huyo tayari amefikishwa hospitalini kwa ajili ya upasuaji huku juhudi zikiangaliwa katika kumrejeshea heshima yake ya kifuani tena.



Posted by Unknown on 7:20 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Maziwa ya Kichina yampasukia Mwanamke wakati amelala!!!"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...