|

Mwalimu wa chuo kikuu aacha kazi baada ya kutupiwa Condom zilizotumika

-->

Mkufunzi mmoja katika chuo kikuu nchini marekani ameamua kuacha kazi baada ya matukio ya mara kwa mara yanayofanywa na baadhi ya wanafunzi wake kwa kumwachia condom zilizotumika katika ofisi yake ikiwa ni ishara ya kutomkubali. " Ni mazingira magumu ya kazi nnayokutana nayo" alisema baada ya kufikia uamuzi huo.

Posted by Unknown on 10:15 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Mwalimu wa chuo kikuu aacha kazi baada ya kutupiwa Condom zilizotumika"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...