Sangoma Mmoja amecheze kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Raia wenye hasira baada ya kugundulika ya kwamba alikula njama za kumuua binadamu mwingine na ndio alikuwa katika maandalizi. Nusura yake ilipatika baada ya Jeshi la Polisi Kutokea Eneo la Tukio Na Mpaka sasa bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Posted by Unknown
on 9:03 AM. Filed under
Maisha,
Udaku wa Africa,
Uswazi.
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response
0
comments for "Mganga achezea kichapo baada ya kula njama za Kuua."