Angalia Alichokiandika Diva Kupitia Akaunti yake ya Kijamii hapa
Mwanadada Loveness Love au Diva wa Ala za Roho amefunguka na kumtupia mtu asiyejulikana fumbo la aina yake, hii inatokana na kuwa anaandikwa na taarifa zake kusaa kila mahali hasa zikiwa za Private Mno. Angalia Alichokiandika Hapa:-

