Hatimaye yathibitika kwamba Queen Latifah naye ni Jike Dume
Ule uvumi wa muda mrefu kuhusu nyota mkongwe wa movie huko Marekani umepatiwa majibu. Hivi karibuni, mtandao mmoja wa kidaku nchini humo uitwao B Gossip, ulifanikiwa kuzinasa picha za Staa huyo wa "Movie ya Set It Off" akila raha na mwanadada Jeanet JenKins Huku Queen Latifah akisimama kama Mwanaume.
