Kim na Nori wahudhiria msiba wa Mzee Williams.
Baada ya Kuwa mbali na Camera kwa muda mrefu tangu kujifungua, Mwanadada Kim Kardashian ameonekana huko msibani kwa Babu yake Kanye West maeneo a Oklahoma Jumamosi ya tarehe 17 August.
Kim akiwa na mtoto wao Nori walienda kumzika mzee Portwood Williams aliyefariki akiwa na umri wa miaka 97 tarehe 10 August. Naona Mwanamitindo huyo amefanikiwa kuirudisha taswira ya Shape yake.

