Lady Gaga Atoka Dinner na Boyfriend wake akiwa Hivi
Mwanamuziki Lady Gaga alionekana akiwa amevaa nguo hiyo yenye kuonesha kila kila ndani huku akiwa amatoka kupata chakula cha usiku na mpenzi wake Muigizaji Taylor Kinney siku chache zilizopita. Unamtafsiri vipi mwanamke huyu?
