Majambazi yaliyopora Kituo cha Mafuta Buguruni Wadakwa na Polisi Baada ya Purukushani Ndefu.
Majambazi hayo Matatu yalidakwa na Askari hao waliokuwa wakifukuzia mara baada ya kufanya Uhalifu katika kituo cha Kuuzia Mafuta Buguruni Malapa. Baada ya heka heka za muda mrefu walizidiwa nguvu na kutiwa nguvuni maeneo ya Viwandani Barabara ya Mandela.
![]() |
| Raia hawakuwa mmbali katika kushuhudia baada ya njemba hizo kutiwa nguvuni |
![]() |
| Kwisha habari yao safari kituoni chini ya Ulinzi Mkali |


