P Square wamsainisha Rasmi Cynthia kama First Lady Wao.
Taarifa Kutoka Katika Kundi la Muziki la P Square imesema hatimaye wamemsainisha Mkataba Mwanamuziki Cynthia Morgan na kwamba sasa ndiye First Lady wa Kundi Hilo, Angalia Uthibitisho katika Tweets hizo chini:-
