11:17 AM | Posted by Unknown
Kufuatilia Serikali ya Marekani kuwapunguzia Mzigo wa Adhabu baadhi ya watu watakaokuwa wanakutwa na makusa ya yanayohusiana na Madawa ya kulevya hasa Watumia wa chini ambao si wasambazaji wa Madawa Hayo, Wanainchi wa Nigeria wameitafsiri hatua hiyo ki picha zaidi huku wakimuhusisha Raisi huyo na Uanachama wa U" Pusha"

Posted by Unknown
on 11:17 AM. Filed under
Habari za Kimataifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0.
Feel free to leave a response