Waandamana wakidai Heshima yao hata kama wanavaa Nusu Uchi
--> Kama wanavyoonekana katika picha kundi la watu, wengi wao wakiwa ni "Machangudoa" wameandamana huko uzunguni wakidai kutoheshimiwa hasa baada ya wao kuvaa mavazi ya nusu uchi huku wakidai ya kwamba mavazi sia kigezo cha wao kutoheshimiwa.
Posted by Unknown
on 1:26 AM. Filed under
Habari za Kimataifa,
Udaku wa Ulaya
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response