"Laana" Uingereza yapitisha ndoa za jinsia moja.
Jumanne ya jana tarehe 16/07/2013, Dunia imeshudia mmomonyoka wa maadili na matukio ya kuzidi kumuudhi Mungu baada ya Serikali ya Uingereza Kupitisha sheria inayoruhusu ndoa za jinsia moja, Kilichobaki ni kurkebisha system za computer ili ziweze kutambua uwepo wa ndoa hizo.
Ila muungano huo wa "kishetani" na usiokuwa na maadili hautaitwa ndoa kama ndoa za mke na mume ziazotambulika na wengi.
Pamoja na hayo Ndoa hizo zitaanza kufungwa rasmi kuanzia mwaka 2014 katikati ili kumaliza maboresho ya sheria zingine zinazoendana sawa na hilo mfano haki za kurithi na mafao.
Miongoni mwa nchi zinazoruhusu ndoa za jinsia moja ni Marekani, Canada, Australia, Sweden, Iceland, Portugal, Argentina, New Zealand, Belgium, Spain na Africa ya Kusini.
Mungu Atunusuru.
Posted by Unknown
on 4:31 AM. Filed under
Habari za Kimataifa,
Udaku wa Ulaya
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response