|

Aaah, Shabiki wa Tabora "AMPAKATA" Shilole Laivu...!!!!!



Kama ni Mzuka au njia ya kuwapa Uhondo mashabiki wake, mimi nawe hatujui lakini hii imetokeo huko mkoani Tabora ambapo msanii wa Bongo Flavor, Mwanadada Zuwena Mohamed, Shilole aliruhusu kupakatwa na mmoja wa mashabiki wake stejini huku akiendelea kuyakata mauno na kutuimbuiza.

Mashabiki waliokuwa chini ya jukwaa waliripuka kwa kelele na miluzi huku kila mmoja akitamani nayeye angepewa nafasi hiyo, haya bwana next tym katika Shangwe za Fiesta then msiachie kukaa mbali na jukwaa maana lolote linaweza tokea, especially when Shilole is on stage.

Posted by Unknown on 1:52 AM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Aaah, Shabiki wa Tabora "AMPAKATA" Shilole Laivu...!!!!!"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...