Ingawa Jamii Inamchukulia Tofauti Lakini Mama yake Anampenda Mno.
Ingawa Mshiriki wa BBA The Chase kutoka Nchini Nigeria Anaonekana kuwa katika hali ngumu kutokana na tabia yake ya Kuendekeza Ngono alioionesha ndani ya Mjengo, Mama Mzazi wa Msichana anajivunia matendo ya mwanawe Huyo.
Hayo yameelezwa na Rafiki wa Karibu wa Binti huyo huku akisisitiza ya kwamba sasa katika Urafiki wao wamekuwa wanne, yaani Beverly, Charity, Denrele na Mmama yao Suzy. Na hilo unaweza Ukaliona hata Mshiriki huyo akiwa mjengoni hapo huwa haishi kuwapigia simu watu hao watatu.
Ingawa kama mzazi anaweza asilifurahie penzi la kizushi baina ya Bev na Angelo lakini anamkubali sana binti yake huyo na amemuandalia mapokezi ya kimalkia pindi atakaporudi nyumbani kwani mpaka sasa amesha anza kumpambia chumba chake.
Posted by Unknown
on 9:39 AM. Filed under
Udaku wa Africa,
Ujana
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response