|

Kipimo kipya cha damu kinauwezo wa kugundua umri wa kuishi wa Mtu.


Wanasayansi huko Ulaya wamegundua kipimo kipya cha damu ambacho kina uwezo wa kukadiria umri ambao mtu anaweza kuishi kwa kupitia viambatanisho maalumu katika damu vijulikanavyo kama "Finger Prints"

Tume ya watafiti hao waliweza kufanya uchunguzi huo kwa kutumia sampuli za damu za watu 6,000 tofauti kama majaribio, kiasi cha kusema hayo. Ingawa kwa sasa wanapata majibu ya makadirio, wanaimani siku za usoni watakuwa na majibu sahihi zaidi.

Daktari Ana Valdes akiongoza uchunguzi huo amesema ya kwamba umri wa mtu huchangiwa na vitu vingi ikiwemo maisha yake, mazingira anayoishi na kingine ndo hicho Genes.

Posted by Unknown on 8:30 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Kipimo kipya cha damu kinauwezo wa kugundua umri wa kuishi wa Mtu."

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...