|

Mtoto Apsuliwa Kichwa Kutolewa Mguu na Mkono katika Ubongo (Picha zinasisimua)


Yaliyomo ndani ya Ubongo wa Kichanga Huyo

Laiti kama ingetokea katika nchi zetu za Ki Africa hasa hapa Tanzania basi huu ndio ungekewa mwisho wa mtoto huyo Mchanga. Alizaliwa akiwa na Aina ya Pekee ya Uvumbe wa ndani ya Ubongo, Uvumbe ambao husabisha kutengenezwa kwa viungo vingine vya binadamu ndani yake mfano meno, nywele n.k.

Bizzare Photos: Doctors Remove Foot, Hand And Thigh From Baby’s Brain (Viewer Discretion)
Harakati za Kuutoa Mguu na Mkono huo ndani ya Ubongo
Tukio la mtoto huyo limeushangaza ulimwengu kwasni aina yake ya uvumbe umeota katikakati kabisa ya ubongo na ulikuwa tayari umeshaanza kuota mguu na mkono ndani ya ubongo huo. Lakini kwa Uwezo wa Mungu madaktari walifanikiwa kumfanyia upasuaji mtoto huyo na kutoa viungo hivyo vilivyoanza kuchipua na kuuondoa kabisa ugonjwa huo.

Kwa sasa mtoto Sam Esquibel anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji huo akiwa na siku 3 tu, tangu azaliwe, Uvumbe wa mtoto huyo uligunduliwa na Daktari Paul Grabb huko Colorado Marekani.







Posted by Unknown on 10:10 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Mtoto Apsuliwa Kichwa Kutolewa Mguu na Mkono katika Ubongo (Picha zinasisimua)"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...