BBA Tha Chase yafikia Tamati, Dillish Aibuka Mshindi.
Hatimaye Shindano la BBA The Chase Jana limefikia tamati huku likimwacha mshiriki kutoka Namibia, Dillish akiondoka na mkwanja mrefu wa $ 300,000. Washiriki walioingia katika fainali hizo walikuwa watano ambapo Kura zilikuwa kama ifuatavyo:-
Dillish - Kura 5
Cleo - Kura 4
Elikem - Kura 3
Melvin - Kura 2
Beverly - Kura 1
