Nick Mbishi awapiga Chenga Wabongo kwa Tweet ya Kuathirika na UKIMWI
Kama utaiangalia vizuri Tweet a Msanii huyo utadundua wapi alipo wapiga chenga wengi wa waandishi, ni pale aliposema S n I, yaani Si....!!!!
Kwa walioshtuka mapema wamesema ni Njia ya Kujipatia "Kick" Sijui wewe waonaje?!! Angalia Tweets hizo hapo chini:-

