Beverly Aangua Kilio Baada ya Mpenzi wake Kutolewa BBA The Chase
Haya sasa zile Couple za Mahaba zilizokuwa zinaunguruma BBA The Chase zimefikia Tamati baada ya Angello Kutoka South Africa nayeye kufungasha Virago hapo Jana. Angalia Tweets za Mashabiki wa Bev na Angelo Hapo Chini.
