VIDEO" Ki Sketi cha Toni Braxton Chafunguka Mkanda Stejini" Wowowo Lote Nje!!!Loh!!!
Halafu mwenyewe hana habari, mashabiki hoi kwa vifijo, mpaka watu wa pembeni wakamvisha koti kupunguza mitego kidogo. Kana kwamba haitoshi na Hajali akaanza kujikuna Wowowo Kabisaaa. Angalia Video Hapo Chini:-
