Bilionea wa Urusi Amwaga Pesa Dirishani, watu waumizana kuzidaka.
Watu Husema Hela Hazina Mti wa Kupandwa na Kuota na pia hainyeshi kama mvua, yakupasa ufanye kazi kuitafuta, well huko Nchini Urusi Juzi ilinyesha mvua ya hela pale Bilionea ambaye anamiliki mtandao mmoja wa kijamii nchini humo alipo amua kuwapa hela raia kupitia Dirisha la Ofisi yake.
Bilionea huyo wa miaka 27, Pavel Durov aliwanyeshea mvua hiyo Raia ambao wengi waliumizana katika purukushani ya kudaka matone hayo ya hela.
Posted by Unknown
on 11:37 AM. Filed under
Habari za Kimataifa,
Udaku wa Ulaya
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response