Ghana Yaongoza Kwa Kuwa na "MASHOGA" wengi Africa Nzima.
Gezeti Moja Nchini Ghana Limeandika Habari Kuhusiana na Nchi kuwa Kinara cha Makazi ya Mashoga kwa Africa. Gazeti limesema ya kwamba Vijana wengi wa kiume kuanzia miaka 18 na kuendelea wanashairiki mapenzi ya jinsia moja na wamejiweka zaidi katika mitandao ya kijamii kusaka soko la kimataifa hasa kwa wanaume wa mataifa ya Ulaya.
Kupitia mtandao wa accraexpart.com, mchangiaji wa habari hii anasema kuna mitandao mingi ya wapenzi hao wa jinsia moja huku wengi wao wakiweka picha zao za utupu kwa lengo la kuwavutia wanaume na huku wakiwa wamejisajili kama raia wa Ghana.
Sijui Tunaelekea Wapi?!!!!!
Posted by Unknown
on 12:13 PM. Filed under
Maisha,
Udaku wa Africa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response