Mpalestina, aweza kui Hack akaunti ya CEO wa Facebook, Mark Zuckerberg. Angalia Alichoandika katika Wall yake...
Hacker kutoka Palestina, Khalili Shreateh ameuthibithia ulimwengu kwamba hata Akaunti ya Mtu Muhimu kama Mkurugenzi wa Mtandao wa Face Book, Marck Zuckerberg inaweza ikaingiliwa undani wake na kuifanyia chochote.
Khalili ambaye ni mfanyakazi wa West Bank, aliweza kugundua Bug ambayo inauwezo wa kuingilia akaunti ya mtu yoyote ambaye anatuia Face Book. Kawaida Face Book humlipa mtu kuanzia $500 ikiwa atagundua kidudu kama hicho kulingana na ukubwa na tishio lake ikiwa atawatafuta mapema bila kuitoa siri hiyo kwa watu wengine.
Lugha ya Kiingereza imechangia Khalil kutolipwa maana aliwasiliana nao lakini hawakuelewana vizuri ndipo alipoamua kuandika kuhusu Kidudu hicho katika wall ya CEO, Mark Zuckerberg.
Posted by Unknown
on 1:27 AM. Filed under
Udaku wa Ulaya
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response