|

Wanaume hawaachi kuniomba Penz** kila wakipata nafasi


Hayo ni maneno ya Julieth Ibrahim, Mwanamitindo na Muigizaji wa filamu kutoka nchini Ghana. Mrembo huyo alianza kuigiza mnamo mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 18, kwa sasa binti huyo mrembo ameolewa na ana mtoto mmoja.

Ingawa pete ya ndoa haimtoki kidoleni kwake lakini kwa baadhi ya wanaume imekuwa haionekanai kwani kila wanapopata nafasi ya kuongea na mwigizaji huyo kilio chao ni kupewa Penz** tu.

Mrembo huyo ameolewa na Rubani ambaye awali alikuwa akiishi Marekani lakini kwa sasa wanaishi wote Ghana baada ya kuhamia huko kikazi.

Posted by Unknown on 1:02 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "Wanaume hawaachi kuniomba Penz** kila wakipata nafasi"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...