|

"Benson ni "SHOGA" Ananitumia mimi kuuficha ukweli" Emelda




Sasa imezidi kudhihirika ya kwamba yule muuigizaji kutoka nchini Nigeria ambaye aliwahi kukumbwa na kashfa ya kuigiza Movies za Kishoga kweli anashiriki vitendo hivyo vya Mapenzi ya jinsia moja.

Benson Okownko ambaye baada ya kuzagaa kwa taarifa zake kuwa "Sio Rizki" akaanza kutangaza na kupost picha kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba yeye ni dume kamili na anatarajia kufunga ndoa mnamo mwezi wa 12 mwaka huu na Emelda Emells.

Kufuatia kuzagaa kwa taarifa hizo, Emelda amefunguka na kukanusha huku akisisitiza ya kwamba jamaa ni "Mchicha Pori" na kuhusu hizo picha walipiga zamani wakiwa salon na hakuona kama ni jambo kubwa, kwani jamaa ni dume jike.


Ben na Emelda
Na jamaa asitafute pa kujifichia maana kitendo hicho kimemkasirisha mpenzi wa halali wa Emelda ambaye anapanga kufunga nae ndoa, binti huyo aliomba aachwe aomboleze msiba wa baba yake ambaye alifariki dunia mnamo August 4 mwaka huu bila kuzidishiwa machungu.

Ameongeza ya kwamba yeye huwa akiwaona wanaume tofauti tofauti nyumbani kwa Ben hali iliyodhirihisha kuwa jamaa ana maisha ya siri zaidi ya yale yanayojulikana na wengi, Ben aliwahi kuigiza Movie moja ya Kimapenz ambayo alikuwa akiingiliwa iitwayo "P.H"

Posted by Unknown on 1:33 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for ""Benson ni "SHOGA" Ananitumia mimi kuuficha ukweli" Emelda"

Leave a reply

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...